• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Tuzungumze: Mke wa mwenzio, harimu
    Ikiwa kweli maburudiko ni ya lazima kwa maisha wa mtu, yafaa yafanyike katika usawa bila kumtuma mtu kwendesha vitendo visivyo halali, kuchafua utu wake na kuzoofisha mwili wake bure.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Kweli, ninao ugonjwa wa SIDA
    Binti mmoja mtaa wa Kadutu pa Bukavu anaugua ugonjwa wa upungufu wa kingo mwilii (UKIMWI, kwa kifupi ama SIDA) tangu siku nyingi kufwatana na mafasirio alipata kwa waganga pale Bujumbura na Goma.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Imata Raphael Déwen il y a 3 ans
  • Michezo ya kandanda: Zaïre kainyuka Tanzania 2-0
    Kulingana na mapambano yanayoendeshwa kwakuigombea Kombe la 18 baina ya Mataifa Barani Afrika (CAN) ambalo litaonywa kugombewa kweli katika mapambano ya mwisho itakayowachonganisha timu za mataifambali mbali hapo mwaka 1992 ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Matunda ya kazi yamfalia nani ?
    Katika dunia hii ya leo, makosa mengi na makubwa ambayo watu wengi wenye madaraka walifanya ni kule kupenda mali za dunia kuliko watu waongoza.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Afia: Ugonjwa wa SIDA waendelea kupingwa
    Mnamo tarehe 15 Ogusti 1990, Liwali wa jimbo la Kivu ya Kusini, mwananchi Dilingi Liwoke la Milengo aliye pia prezidenti wa Kamati yenyi kuhusika na upingo wa ugonjwa wa SIDA jimboni mwa Kivu ya Kusini ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Goma: SNEL na REGIDESO yatisha wakaaji
    Habari toka Jimbo la Kivu ya Kashazini zajulisha kuwa mji wa Goma watishwa na vitendo vyaendeshwa na mashirika SNE na REGIDESO ambayo yapigana naz wakaaji ambao watumia moto wa stimu na maji safi ya kunywa toka mirija na mashomba.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Chama "MPR" chasimikwa jimboni mwa Kivu ya Kusini
    Viongozi na wakuu wa vikundi kazaa vya siasa kapewa miezi mitatu ya kutoa maelezo kamili kwa kutoa ombi lao la kuviunda kunako wizara ya mambo ya Ndani, (uongozi wa nchi) na siasa ya kujitengemea ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Kivu ysa Kusini: Mkoa wa Kabare wakaa juu ya majivu ya moto
    Katika ziara ya kiserikali kaendesha liwali Dilingi wa jimbo la Kivu ya Kusini kwa kutoa mafasirio kamili juu ya mabadiliko itakayofanywa katika Katiba ya nchi ya Zaïre.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Kombe la dunia la kandanda: Ujerumani Magharibi binga
    Timu ya Jamhuri ya Ujerumani Magaribi ndilo sasa bingwa wa mchezo wa kandanda duniani. Timu hilo kajinyakulia ushindi kisha kulilaza timu la jamhuri ya Argentina kwa bao moja kwa sifuru.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Kanisa la Kianglikani: Roho njema katika mwili wenyi afia njema
    Kanisa la kianglikani mjini Bukavu kaendesha mwezi wa Julay mkutano wa mafundisho maalum wa maendeleo kwa ajiliya viongozi 45 wa kanisa lake katika majimbo ya Kivu ya Kusini, Kaskazini na Maniema.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • CRONG: Mabadiliko ya siasa nchini na maendeleo vijijini
    Miungano 25 zisizokuwa za serikali ambazo zahusikana mendeleo ya nchi jimboni mwa Kivu ya Kusini kakusanyika tarehe 25 hadi 27 Juni mjini Bukavu chini y uongozi wa muungano waoo mkuu "CRONG".
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Nyama za kuoza zaonywa sokoni
    Katika soko mahali kazaa jimboni mwa Maniema wanuuzi wajionea "Iwa mwende mkaone". Huko Maniema, yasemekana kuwa ni vema kula sombe ao maharagi kuliko nyama.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Swedy Bin Alaiu il y a 3 ans
  • Maniema: Kazi za afia zaendeshwa vurugeni
    Siku hizi wakaaji wa mjini Kindu wapigwa bumbwazi. Kwa kuwa tu viongozi wa kazi za zile ambazo si mhimu sana, wakitupilia mapaswa yaliyo ya mustari wa mbele
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Swedy Bin Alaiu il y a 3 ans
  • Kwako bibi: Chakula bora kwa mama mwenyi mimba
    Wakati kanenwa kuwa mtaalam wa mlimo ni wa lazima sawa na nganga, watu wamoja wamoja wapingwa bumbwazi, kwa kweli, masemi hayo ni ukeweli mtupu.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Kwako bibi: Chakula bora kwa mama mwenyi mimba
    Wakati kanenwa kuwa mtaalam wa mlimo ni wa lazima sawa na nganga, watu wamoja wamoja wapingwa bumbwazi, kwa kweli, masemi hayo ni ukeweli mtupu.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • GOMA/Kivu ya Kaskazini: Diosezi katolika imo mbioni kwa maendeleo ya raïa
    Hapo majuzi kafanuika mda wa wiki nzima mjini Goma mkutano wa baraza la Diosezi ya Goma. Mapadiri, watawa na wajumbe wa kanisa la kikatoliki kakusanyika chini ya uongozi wa Askofu wa Goma, mheshimiwa Ngabu.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Gabriel Lukeka Bin Miya il y a 3 ans
  • Kivu ya Kusini: Wakaaji wa Bukavu walaumu shirika "SNEL"
    Baada ya ziara ya Prezidenti-muundaji wa Chama cha Mapinduzi "MPR" mjini Bukavu, shirika "SNEL" halina amani. Kwani, siku kwa siku, wakaaji wenyi kutuma moto wa stimu walienda na watumishi wake.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Urusi kabadili siasa yake, lakini
    Mabadiliko ya siasa kufanyika Ulaya ya Mashariki ambako nchi nyingi kaendesha siasa ya kisosialisti katikisa nchi kazaa wa kazaa ulimwenguni.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Kwako bibi: Tumia feza kwa ukarimu
    Katika shule nyingi wasichana waelimishwa mambo kazaa kuhusu utumizi wa feza katika jamaa watakaloliunda siku za usoni. Maelimisho hayo yaelekea zaidi ujuzi wa utumizi wa feza nyumbani.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • UNICEF imo mbioni kulinda afya ya watoto
    Hapo majuzi, liwali wa jimbo la Kivu ya Kusini, mwananchi Dilingi Liwoke La Milengo, kasimika kamati ya kufuatilia kwa karibu kazi za kampeni kamambe zitakazoendeshwa kuhusu chanjo kwa watoto jimboni.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Makanisa na maendeleo jimboni mwa Kivu ya Kusini
    Kama tulivyoyaeleza katika nakala zetu zilizopita, isiyo tu kanisa la kikatoliki lahusika na maendeleo ya umma nchini bali pia hayo ya kiprotestanti na ya Kimbangu.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Peru
    Sherehe za Noeli kapigwa marufuko Uyahudi: Misaada ya Amerika yapigwa Ethiopia: Watu milioni moja hatarini! Panama: Huenda Noriaga akahukumiwa kifungo cha miaka 140 Walikale: Watu 15 wamepo ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Mabadiliko katika uongozi wa mabiro ya "E.P.S." yamefanyika
    Mnamo tarehe 7 mwezi huu, katibu mkuuwa serikali anayebusika na kazi za uongozi bora wa masomo ya msingi na vyuo vya sekondari, mwananchi Ndolela Siki Konde, ametia sahihi yake mhuri wa serikali juu ya hatua aliyokamata kuhusu mabadiliko ya viongozi wa mabiro ya "EPS" nchini.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • "A.N.E.Z.A." ikotayari kupiganisha magonjwa
    "Shirika letu lipo tayari kuwaunga wakuu wa jimbo mkono katika juhudi yao ya kupinga bila huruma magonjwa yanayowaambukia wakaaji wengi siku hizi".
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Mkuu wa Banki "U.Z.B." yupo safarini katika jimbo
    Siku hizi mkuu ama mkurugenzi (président directeur général) wa banki ya biashara iitwayo "Union Zaïroise des Banques" kwa kifupi "U.Z.B." katika lugha ya kifaransa, mwananchi Tshilomba wa Nsimba yuko katika matembezi ya serikali jimboni.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUSEMI KILONDO NKULA il y a 3 ans
  • Mkuu wa Banki "U.Z.B." yupo safarini katika jimbo
    Siku hizi mkuu ama mkurugenzi (président directeur général) wa banki ya biashara iitwayo "Union Zaïroise des Banques" kwa kifupi "U.Z.B." katika lugha ya kifaransa, mwananchi Tshilomba wa Nsimba yuko katika matembezi ya serikali jimboni.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Haifai kumuachia boy kazi zote
    Wabibi wengi wanazani kama wakisha olewa, hawawezi tena kufanya kazi za nyumba kama vile walivyokuwa wakifanya wakati walipokuwa bado wabinti kwao. Kwa nini kubadirisha tabia hiyo nzuri ? Kwa sasa bifulani ukiisha muona bwana anaenda kazini, anakuacha bado kitandani, pahali pa wewe kuamba mapema, unaamja saa nne.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Bujiriri Mwangaza il y a 3 ans
  • Uvira : Majambazi Kadutu, Mutungula na Baroli wametupwa jela
    Wangwana wamesama : "Mtoto alikilia wembe, mwachie. Kwani atajuta mwenyewe baadae". Fumbo hilo muhimu nq lenye maadibisho mengi, limetoa matunda yake bora siku hizi mjini Uvira hasa kabisa katika sehemu ya Mulongwe.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Bukavu : Seminari ya maadibisho ya wateule wetu mjini Bukavu imekoma
    Tangu siku ya tano tarehe 10 mpaka siku yay pili tarehe 21 Julay, seminari ya maadibisho ya wateule wetu mjini Bukavu iliendeshwa na walimu wa masomo ya wafanyakazi (CIDEP) kunako masomo ya kijamii katika mtaa wa Kadutu (centre social de Kadutu).
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • BUkavu : Vyombo vya muziki vilitolewa kwa kundi la uhimizaji jimboni
    Siku ya sita tarehe 18 Julay 1981, vyombo vya kututa muziki vilivyotumwa na Rais Mobutu vilionywa kiserikali mbele ya LIwali wa jimbo la Kivu, mwananchi Mwando Nsimba.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Kindu : Wahuni Londo na Kimuti walinaswa
    Siku ya Mungu tarehe 19 Julay 1981, mwenyekiti wa wilaya ya Maniema, mwananchi Mbalanga, alisimamia mkutano moja maalum ya kiraia uliowakusanya wanachama maelfu ambao walionyeshwa wahuni ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Moto unawaka katika mkoa wa Barundi
    Kwa wale wasioelewa vizuri mkoa wa Barundi, tnajiruhusu kuwapasha hapa kwamba mkoa ule ni moja kati ya sehemu tatu zinazounda pamoja mtaa wa Uvira. Mkoa wa Barundi wapatikana katika bonde la Ruzizi.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUSEMI KILONDO NKULA il y a 3 ans
  • Kivu haikupumuwa mbele ya Virunga
    Wakati timu za Bukavu, CS Bukavu-Dawa na OC Muungano, zilikuwa zikichuana mjini Bukavu na Bankin toka Goma na Koko toka Uvira, FC Kivu ya Bukavu iliona nyota mbele ya CS Virunga ya Goma.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Vikombe vya jimbo : Bankin ya Goma ilipima mizani yake na Muungano ya Bukavu 2-2
    Juma iliyopita, wapendelevu wa mchezo wa kandanda walijielekeza kunako viwanja vya mchezo ule. Wale wa Bukavu walienda kunako kiwanja "Mobutu Sese Seko" cha mtaa wa Kadutu na wenzao kunako uwanja "Volcans" wa Birere.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Lusaka-Zambia : vita vikali vitatukia Namibia
    Habari kutoka redio Rwanda zajulisha kuwa Rais Kenneth Kaunda wa Zambia alipana angalisho na kupinga siasa ya makaburu mabeberu ya Afrika ya Kusini kuhusu uhuru wa Namibia.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Somalia : Watu waliuawa na wengine waliumizwa
    Wizara ya mambo ya ndani ya Somalia imejulisha kuwa watu walifariki na wengine waliumizwa vikali katika mji wa Ogaden baada ya mashambukizi makali yaliyofanywa na ndege ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Mosku-Urusi : Rais Shagari alitembelea Urusi
    Rais Shagari wa Nigeria alitembela siku hizi Urusi. Katika ziara yake ya kiserikali, rais huyo alikutana na mwenzie wa Urusi, bwana Leonid Brejnev katika masimulizi.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Nairobi-Kenya : Raïs Neelam Sanjiva azitembelea nchi za Afrika
    Bwana Neelam Reddy, Rais wa Jamhuri ya Uhindi azitembelea siku hizi nchi mbali mbali za Afrika. Katika matembezi yake ya kiserikali.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Bralima ya Bukavu ilifezeesha Flambeau ya Baraka : 7-1 Kati ya F.C. Nyota ya Nyangezi na F.C. Instika ya Kadutu : mchezo ulikuwa mzuri
    Siku ya Munu tarehe 31 Mayi 1981, wapendelevu wa kabumbu walihuzuria mapambano ya kandanda kunako uwanja wa Kadutu utwao "Mobutu Sese Seko".
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Mbuji-Mayi : Muungano na Sanga-Balende watezamiwa kuchuana tena
    Kama vile tunavyoelewa sisi wote, huu ni wakati Jamhuri yetu yafanyika popote. Kufuatana na kalendari iliyotangazwa na wakuu wa shirikisho la mchezo wa kabumbu jeshi bingwa la jimbo letu-yaani ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Bukavu : Kundi la waganga watatu lachungua magonjwa yanayoshika watu kwa rafla
    Tangu sasa juma moja, kundi la waganga watatu linaloundwa na waganga MULUMBA MUKA, BIOGA MUVUNYI na KAKIENZA MWANA MBO lachungua kwa karibu magonjwa makali yanayoshambulia watu wengi kwa mara moja ama "épidémie" katika lugha ya kifaransa.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Kadutu : Makatazwa kuuza na kunywa maziwa mazito
    Katika mpango wa kupinga kabisa ugonjwa mkali wa kuhara damu unaowashambulia siku hizi wakaaji wa mikoa nyingi jimboni mwa Kivu, mwenyekiti wa mtaa wa Kadutu ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Kolumbia-Amerika : Gari za mabawa 200 zilifungwa
    Gazeti "El Tiempo" inayochapwa Bogota, mji mkuu wa Kolumbia, yajulisha kuwa gari za mabawa yapata 200 nazaidi, kisha uchunguzi mkali wa askari polisi, zimenaswa na serikali ya Kolumba.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Uganda : Watu 60 walifariki ziwani
    Habari kutoka Kampata ambazo zilizotangazwa na redio ya Uganda zimejulisha kuwa meli moja ilikokuwa ikisafirisha watu juu ya ziwa Albato (Lac Albert) Kaskazini. Mashariki mwa nchi ya Zaïrena Magharibi mwa nchi ya Uganda ilizama.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Mashauri ya Kati : Sadate na delea mazungumzo yao juu ya amani
    Siku hizi, ilimeshimiwa Rais wa Misri, Bwana Anwar El Sabante, alikutana na waziri mkuu wa serikali ya Israeli, Bwana Begin, kusini mwa mlima wa Sinai.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Michezo : Vikombe vya jimbo
    Katika michezo ya Kandanda ya kugombea taji la timu bingwa la jimbo, timu mbali mbali zilikutana mijini Uvira na Goma. Ni hivi, siku ya sita tarehe 23 Mayi 1981, wachezaji maarufu wa jeshi la shirika la Bralima walikwaruzana mjini Uvira na wezio wa shirika "Sucki" (Sucrerie de Kiliba) ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Kamanyola : Ndugu Murangiza Manyanga na Fololo hawataacha wizi ?
    Siko ya nne tarehe 14 Mayi 1981, watoto familia moja, yaani ndugu Murangiza Manyanga na mdogo wake Fololo waliachwa huru ao kufunguliwa katika jela mjini Uvira baada ya kumaliza siku nyingi ya kutuba mali za watu ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par Nyuki il y a 3 ans
  • Amerika : Bob Marley alifariki
    Kisha habari hiyo ya furaha tutawapasha hapa haari ya uchungu. Kwani wapiga mziki na wapendelevu wa mziki mtamu na malinga ya "reggae" wapo kilioni baada ya kufariki dunia kwa muimbaji na mpiga mziki wa kisasa ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Abidjan : T.P.O.K. Jazz ilitembelea Pembe la Pwani
    Kisha kujitembelea nchini mbali mbali za Ulaya Magharibi mwananchi Luambo Makiadi (mjomba Yorgho) na kundi lake la T.P.O.K. OK JAZZ aliwaburudisha wananchi wa Pembe la Pwani ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Uganda : Askari wafungwa 3.000 waliachwa huru
    Siku ya tatu tarehe 27 Mayi 1981, Rais Milton Obote alichukua hatua maalum ya kuwahurumia na kuwaacha huruaskari jeshi elfu tatu waliokuwa wafuasi wa Idi Amin Dada.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Afrika ya Kusini : Wachimba zahabu weusi 1.600 walifukuzwa kazini
    Radio "Sauti ya Ufaransa" na "Ujerumani Magharibi" zilitangaza siku ya nne tarehe 28 Mayi 1981 wakati wa asubuhi kuwa, wakuu wa shirika la uchimbaji zahabu ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Zimbabwe : Simba moja aliwatafuna watoto watatu na mama yao
    Wakati ambao ulimwengu wote ulikuwa katika matayarisho ya kufurahi kwa shangwe kubwa siku kuu ya wafanyakazi, yaani tarehe moja mayi 1981.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Waziri Mugabe alipokewa kwa shangwe
    Kwa upande wake, waziri mkuu nchini Zimbabwe, Bwana Robert Mugabe alipokewa kwa heshima na shangwe kubwa mjini Pékin.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Mufalme Baudouin wa kwanza ataenda Pekin
    Siku hizi, magazeti mbali mbali ulimwenguni zilitangaza na kuhakikisha kwamba, mfalme Baudouin wa kwanza nchini Ubeleji anakusudia kabisa kufanya safari yake ya kiserikali mjini Pékin ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Mchezo wa kandanda
    Kisha kulaza Simba (Lions) ya Cameroun kwa golimaji Kinshasa, Chui (Léopard) ziliumwa vikali bila huruma nchini Cameroun na jeshi la Simba zilizokuwa na hasira.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Bukavu : Uchunguzi wa watumishi wa serikali umefanyika vema ?
    Wakuu wa serikali nchini walipotambua kuwa feza nyingi zatumiwa na kuibwa ovyo kwa kuwalipa bure watu wasiotumika kazi, wale waliokwisha fariki kazi kwa umri wao wa uzee, wale wenye mishahara miwili na zaidi kwa mwezi ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Askari jeshi wanaweza kuomba uito wa maamzi yao
    Mnamo tarehe tano septemba 1980, Muudaji wa Chama cha Mapinduzi, Rais wa Jamhuri, Jemadari Mobutu Sese Seko alitia sahihi yake juu ya hatua namba 80-015 kuhusu makorti mbali mbali ya askari jeshi nchini Zaïre.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Liwali Mwando aliwapokea watangazaji habari
    Siku ya pili tarehe tano Mayi 1981, mwanamemba wa chumba cha siasa, Liwali wa Kivu Mwando Nsimba Shaba na mkewe, waliwapokea nyumbani mwao watungazaji habari na wake zao katika karamu ya masimulizi.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Askari 10.000 watanzania wazidi kurudi kwao
    Kulingana na hatua iliyochukuliwa na Rais Julius Nyerere wa Tanzania, askari wake wengine elfu kumi walianza kurudi nchini mwao tangu siku ya tano tarehe mbili Mayi 1981.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE il y a 3 ans
  • Katibu mkuu Kurt Wadeim alitembelea Urusi
    Karibu mkuu wa Baraza la Muungano wa Mataifa (ONU), bwana Kurt Wadeim, alitembelea Urusi. Ukomo wa safari yake huko Mosku, mji mkuu wa Urusi ilikuwa kukutana na wakuu wa nchi hiyo ili kuchungua vema mambo ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Washington -Amerika : Bobby Sands ameaga dunia
    Serikali ya Amerika yahakikisha kuwa mpinzani wa mgogoro unaopatikana nchini Irland, bwana Bobyy Sands aliyefanya mgomo wa njaa (grève de la faim) ili wananchi wa Irland ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Belgrade-Yugoslavia : Ukumbusho wa mareshali Tito
    Siku ya kwanza tarehe 4 Mayi 1981, wananchi wa Yugoslavia walikutana pamoja katika ukomo wa kusherekea ukumbusho wa mwaka moja tangi kurariki kwa rais waowa kwanza, marehemu Tito.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Uvira : Japokuwa upo mtoto wa Basika, mimi ni dereva wa gari hili
    Katika gazeti letu namba 109 lililopigwa chapa tarehe 11 mpaka 17 aprili 1981, tulizungumza na kutoa mashauri fulani yenye kuwaelekea ndugu zetu madereva wa "taxi" na wa magari yahusikayo na usafirishaji watu toka Bukavu mpaka Uvira na kurudi kuhusu tabia yao mbaya.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Liwali wa Kivu ahusika na uchunguzi wa watumishi wa serikali
    Kwa kuweza kulipa vema mishahara ya watumishi wa serikali katika mwezi wa nee 1981, makundi mbali mbali yaliundwa kwa kufanya uchunguzi maalum wa wafanyakazi wota wa serikali nchini.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Kwako bibi : Kutoa mimba kwaleta vinyume vikali !
    Kama tujuavyo sisi wote, kutoa mimba kwaleta vinyumba vingi vibaya hasa kabisa kuharibu afia na paisha ya kina mama kwa upekee na watoto wazaliwa kwa jumla.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MUNYOLOLO KIPENE il y a 3 ans
  • Uvira : Wakaaji wakosa amani ?
    Hapana ! Tangu siku nyingi sasa wakuu wa serikali jimboni waliruhusu makundi ya askari jeshi yasimikwe mahali mbali mbali mjini Uvira kwa kuweza kukinga usalama wa wakaaji na mali zao.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Mwananchi Makolo aendelea na safari yake ya uchunguzi
    Tangu siku ya tatu tarehe 29 aprili 1981, naibu wa Liwali wa Kivu ahusikae na kazi za serikali, mwananchi Makolo Jibikilay ahusika na uchunguzi mbali mbali katika mawilaya ya Kivu ya Kaskazini. Maniema na Kivu ya Kusini.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par MALIYABWANA Mwin'Anu il y a 3 ans
  • Saraha Magharibi itashiriki kwenye mkutano wa Naïrobi
    Jamhuri ya Kidemokratia ya Sahara Magharibi yatezamia kutuma ujumbe wake mjini Naïrobie, nchini Kenya ili kuomba ikubaliwa kuwa moja kati ya nchi wanamemba wa Umoja wa nchi huru za Afrika (O.U.A.)
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Weusi 28 waliuawa kwa ubaguzi wa rangi mjini Atlanta
    Kulingana na habari zilizotangazwa na sauti ya Ujerumani Magharibi yasikika kuwa, Weusi makuli mawili na nane waliuawa katika miezi makumi mawili na moja mjini Athanta ...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par