• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Adabu za saa zote: Kwa mkubwa na kwa mdogo
    Kunao watu ambao wanazani kama ni haki yao kuheshimiwa yaani kupatiwa adabu yote na kwamba ni mwiko kwao kuheshimia jirani.
    NENO LA WASOMAJI publié par Kimengele Kimode il y a 3 ans
  • Mama Mutiri Nyirkwezi Uwimana, kiongozi mpya wa barabara Kalehe
    Hapo mnamo tarehe 18 ogusti 199, mwananchi Kasongo Bila Muhasa Mpungu kasimika kiserkali Mama Mutiri Nyirakwezi Uwimana kama vile kiongozi mpya wa barabara Kalehe katika mtaa wa Ibanda mjini Bukavu.
    NENO LA WASOMAJI publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Adabu za saa zote: Katika ofisi
    Ofisi zaweza kuwa za namna nyingi. Hapa tutasimulia tu juu ya ofisi yaa siasa na ile ya biashara. Ikiwa unatumika katika siasa jua kama wepesi na haraka ni fadhila kubwa sana.
    NENO LA WASOMAJI publié par Kimengele Kimode il y a 3 ans
  • Uwanja wa mpira utajengwa lini ?
    Mwaka uliopita 1989,wazaliwa wa Maniema toka mahali mbalimbali wanakoishi kakusanyika mjini Kindu ili kutatua magumu ya ujenzi wa uwanja wa mpira na wa mji wa Kindu kwa jumla.
    NENO LA WASOMAJI publié par Swedy Bin Alaiu il y a 3 ans
  • Kindu/Maniema: Malipo yawatisha wachuuzi sokoni Mama Yemo
    Soko "Mama Yemo" ya Kindu kajengwa mwaka wa 1973. Wakati huo jimbo ndogo la Maniema lilikuwa chini ya uongozi wa mwananchi Kusasimba Diamasisa.
    NENO LA WASOMAJI publié par Swedy Bin Alaiu il y a 3 ans
  • Wataka maisha marefu ?
    Gazeti "La Relève" la jamhuri ya Rwanda katoa katika nakala yake mambari 114 ta tarehe 23 mpaka 29 marsi 1990, nusu ya maoni kuhusu siri ya kiushi mda mrefu duniani. Maoni hayo katolewa na mwandishi J. Ndabamenye ambaye kagusia mafasirio ya mwalimu mjerumani Prinzingere.
    NENO LA WASOMAJI publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Wabibi wa unyumba muturegezee
    Katika nakala hii, twaloa mkoani ya msomaji wetu Ngabo Zihindula, mkaaji wa Goma, ambaye atishwana mwenendo usio halali wa akina mama ambao wajitishwa ...
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kwako bibi: Mke ndiye "Malkia wa jamaa"
    Ni lazima sana mke ajue mapaswa yake. Mara nyingi mume hayopu nyumbani; kwa hiyo madaraka zote zabaki mikoni mwa mke. Happo elimu zake zahitajika kabisa.
    NENO LA WASOMAJI publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Adabu, hali na tabia ya mtu
    Katika maandishi ifuatayo, mwananchi Risasi Mwanabateni atoa maoni muhimu kuhusu adabu kila mtu yeyote apaswa kuwa nazo ili kuheshimisha utu wake.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kitabu "Adabu za saa zote" kifundishwe shuleni
    Hapo majuzi mwananchi Kimengele Kimode katoa mwanga kuhusu adabu ambazo mtu yeyote apaswa kushika njiani, mezani, shuleni, jamaani na kazalika.
    NENO LA WASOMAJI publié par Bakanirwa Bachiyeka il y a 3 ans
  • Tuzungumze: Heshima ni kujiheshimu
    Leo! Hatujui kama watu nasa wakaaji mijini mikuu wamekua viziwi-vipofu kwa kuwa hotuba majukwani (tribune, échafaud) pamoja na kalele zisizo kifani (pareil) za vyombo vya habari nchini vyasikika mara nyingi kuhusu nizamu na tabia ya kiutu.
    NENO LA WASOMAJI publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Fizi: Lulenge yawaka moto
    JUA mpenzi, sisi hapa Lulenge katika mtaa wa Fizi twajioneya cha mtema kumi. Kwa kuwa mambo yanayoendeshwa na viongozi wa mikoa yatuangamiza sana na kututia katika uwasiwasi.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Shabunda: Jamaa nyingi zapunguka
    JUA mpenzi, Kwa kusema kweli, idadi ya jamaa nyingi zinazoishi katika mkoa wa Bakisi inaanza kupunguka kabisa. Katika mkoa wa Bakisi inaanza kupunguka kabisa.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kodi yazidishwa
    JUA mpenzi, siku hizi, sisi wakaaji wa Uvira tunasikia ya kwamba kodi italipiwa sawa vile mwaka jana. Lakini hapa kwetu Uvira huyo kiongozi wa mataa atulazimisha kulipa zaire makumi ine.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Uvira : Ubaguzi utaisha lini ?
    JUA mpenzi, usiwe na mchangao wa kuniona natumia ulizo lile kama vile kichwa cha barua yangu hii fupi. Kile kinachonishukuma kukuuliza hivyo si kingine bali kujua kwa nini ubaguzi wazidi kufanyika huku kwetu.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kalehe: Msalamwekundu utamaliza wakaaji wa Bunyaki
    JUA mpenzi, nisipodanganyika ukurasa huu ni baraza ulilotutolea sisi wasomaji ili tupate kuzungumza kimapinduzi kila juma. Sivyo ?
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Utengenezaji wa pombe ya lutuku ukatazwe
    JUA mpenzi, ukubali kupokea malalamiko yetu. Mbele ya kuzungumza nawe tunakupigia aksanti sana kwani tunaanza kupata nasi gazeti letu la Kivu huku kwetu Idjwi. Ninakuomba uwashauri waongozi wetu kusudi wapate kujua wazi kama hii kisanga ni sehemu halali ya Zaïre ambako sharia inapashwa kuhesimiwa na watu wote.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • KABARE : O.T.C.Z. ijiheshimu
    JUA mpenzi, ikiwa ndugu wengine hawapata kukuandikia juu yay vitendo tunavyotendewa na watumishi wa OTCZ, mimi naona kwamba ni vema nivitoe nje, kusudi wale wakubwa wanaoshurulika na talizo hilo wapate kuvitolea majawabu (solutions).
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Idjwi : Mtoto wa mwami analeta fujo
    JUA mpenzi, si wangana husema kwamba "kusema mengi siyo kupata sheria" na tena "kuandikia kitabu kizima siyo kutasiria vizuri jambo fulani" ?
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Pangi : Walimaji wanakasirika
    JUA mpenzi, kwa jina la walimaji ama wakulima wenzangu wa mtaaw a Pangi kwa jumla na hasa walimaji wa Lutala katika mkoa wa Bela kwa upekee, najiruhusu kutoa kwenye mwanga wako tatizwa kubwa ambalo latusumbua bado akili.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Bukavu : Lugha yako ni utajiri wako
    JUA mpenzi, unipe nafasi iliyo yangu katika ukurasa huu ili nipate kutowa mawazo machache ninayo juu ya jambo kubwa ama chombo cha lazima ambacho kila mmoja wetu anapashwa kutumia katika maisha yake. Chombo hicho ni lugha ya kuzaliwa ya kila mmoja wetu.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kutafuta ndugu
    Kutoka Kindu, mji mkuu wa wilaya ya Maniema, msomaji wetu Kingi Miti-Miti (ex. Raphaël), mfanya biashara anayeishi katika mkoa wa Mangobo (Kunako "Rive droite" ya jito Zaïre) barabara litwayo Pene-Misenga namba 59, anamtafuta ndoa yake.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Bukavu : "Bravo" mganga wa kabare
    JUA mpenzi, Nakusihi sana kunipata nafsi iliyo yangu katika ukurasa wetu huu siyo katika nia ya kulalamika wala kumpinga mtu fulani.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Mwenga : Zahabu inayochimbwa Kamituga yawafaidia wanani ?
    JUA mpenzi, kwa kusema kweli usishangae kuona kama natumla lile ulizo kama vile kichwa cha barua yangu hii fupi. Nisipodanganyika, hata kama wewe unafika huku Kamituga, nitazima utajiuliza sawa mimi.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kasonge: Fujo imekwisha Nonda
    Mimi msomaji wako nashukuru sana viongozi wa gazeti hili kwa juhudi wanazofanya za kututangazia habari mbalimbali kusudi ya kutusaidia tupate maarifa mapya.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • BURUNDI : Huyo bibi hangestahili kifungo !
    JUA mpenzi, upendezwe kutangaza barua yangu hii katika ukurasa wetu sisi wammoja wako. Ukomo (madhumuni) wangu wa kuzungumza nawe ni kupata mwanga zaidi juu ya azabu aliyopewa huyo bibi ngumba kisha kuvumbuliwa kuwa aliiba mtoto kunako hospitali "Mama Yemo" mjini Kinshasa.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • MWENGA : Mwananchi Mande anazidi kuharibu mabarabara ya Bukavu-Kadutu
    JUA mpenzi, ikiwa ninakuandikia kibarua hiki, ukomo wangu kamili ni kutaku kukujulisha hali mbovu ya mabarabara ya huku kwetu, pia kukujulisha mtu anayekuwa msingi wa hali hiyo.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Uvira: Komanda wa kamvivira anauzi
    JUA mpenzi, mbele ya vyote. Ukubali kupokea salamu zangu za kimapinduzi. Baadae, nitakusihi uzidi kutuangazia na mwanga wako sisi wakaaji wa mkoa mdogo wa Kilomoni ya kwanza, katika mtaa wa Uvira.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Yule mzee hapendi maendeleo
    JUA mpenzi, ni mara ya kwanza najiruhusu kukuandikia kusudi nipate kukujulisha jambo moja kubwa lililotendwa huku kwetu na mtu, asiyependa Zaïre isonge mbele.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Rutshuru : Mkuu wa shamba la wanyama hatunyweshe maji
    Jua mpenzi, wakati ninaposema kwamba mkuu wa shamba la likana hasa kwa jina la "conservateur" katika kifaransa hatunyweshe tena sipendi kujifurahisha. Nia yangu ni kukufasiria jambo moja ninalotambua kuwa kinasonga bado maendeleo huku kwetu.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Pangi : Kiongozi wa mkoa wa Wabene anatengeneza barabara
    Jua mpezi, nakuomba unipe nafasi iliyo yangu katika ukurasa wetu ili nipate kukupasha machache ninayoweza kushuhudia juu ya hali ya maisha katika mkoa wetu wa Wabene, mtaa wa Pangi
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Idjwi : Walimaji wanakosewa mwalimu
    Jua mpenzi, ukubali kutangaza malalamiko yetu sisi wakulima wa kijiji cha Nyakalengwa, mkoa wa Ntambuka katuka mtaa wa Idjwi.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Sake : USiku ni magari yenye kutembea, mchana ni yenyi kuharibika
    Jua mpenzi, nikiwa mmoja kati ya wapendelevu wako, nilivutwa sana na barua ya ndugu Muhindo uliyotangaza katika gazeti lako mnamo siku zilizopita ambamo alitoa msangao wake kuhusu magari ya mkoa wetu mdogo wa Sake.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Uvira : Mke wangu ananizarau
    Jua mpenzi, ikiwanajiruhusu kukuandikia barua yangu hii kwa mara ya kwanza, ukomo wangu mkubwa ni kuangaziwa na mashauri yako yaliyo bora.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Shabunda : Mwananchi Assende Omari anaongoza vema Kingulube
    Jua mpenzi, kwa jina la wakaaji wenzangu wa Kingulube, mtaa wa Shabunda, ninakuomba unipe nafasi ndogo katika ukurasa wetu sisi wasomaji wako ili nipate kukujulisha machache ninayo moyoni mwangu.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Malinde-Fizi : Sisi walimu twaangamizwa
    Jua mpenzi, pokea malalamiko yetu sisi walimu wa masomo yanayoongozwana Kanisa la Katoliki katika kijiji cha Malinde ndani ya mkoa wa Mutambala, mtaa wa Fizi. Msini wa magumu yetu ni ndugu anayekuwa na kazi ya kuwatolea viongozi wa masomo mashauri ili wapate kuongoza vizuri kazi zao.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Walungu : Mishahara ya walimu yapunguzwa kwa kujenga kanisa pa Muku
    Wakati ninapokuandikia baru hii kwa mara ya kwanza, kisa changu ni kukueleza magumu yetu sisi walimu katika masomo ya msingi ya kiprotestanti ya Muku ya nayoongozA na tawi la "CBK" (Communauté baptiste du Kivu)
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kasongo : Shukuranyikwa sultani Baruani Baboga Mwanandeke
    Jua mpenzi, kwa jina la wakaaji wengazu, najiruhusu kukujulisha habari mbali mbali za mkoa wetu unaojulikana kwa jina la Nonda katika mtaa wa Kasongo.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Rutshuru : Hospitali ya "Cemubac" inakuwa yalala
    Jua mpenzi, kwa jina ya ndugu na wasomaji wenzangu ambao tanaishi katika mtaa huu wa Rutshuru, kaskazini mwa jimbo letu, ninajiruhusu kutoa kwenye mwanga wako mawazo yatu machache juu ya magonjwa ya hatari yanayotushambulia vikali kila mara.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kamvivira-Uvira : Eti mwami akafilisha kwa kuomba faini "za mwende mkaone"?
    Jua mpenzi, ninayo huzuni kubwa moyoni mwangu ninapokuandikia barua hii. Huzuni huo waletwa na matendo mabaya ya mwami wetu mpya anayepitisha kiasi.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Pangi : Kwa msomaji wetu Shabani Busoga
    Ndugu msomaji, tumepokea vema barua yako tarehe 26 Aprili 1981. Mambo uliyoyueleza ndani ni muhimu lakini mbele ya kutangaza ndani ni muhimu lakini mbele ya kutangazwa barua yako, tungetamani ututolee uhakika wote Kuhusu jina la kiongozi wa masomo uliyotaja ...
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Uvira : Kijana Lubuye bin Fofo ajifunza mchezo wa mbio
    Jua mpenzi, nikiwa mmoja kati ya wapendelevu nakusudia kukuandikia leo katika ukomo kamili wa kukujulisha habari zangu.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Ndoluma-Lubero : Sifa kwa mwananchi Mambura Kibwana
    Jua mpenzi, tunayo raha kubwa kukujulisha na kumsifu ndugu Mambura Kibwana, Makamu wa kiongozi katika mataa wa Lubero.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Fizi : Kina mama ubeba vitunga vyao katika "brouette" ama "ngorofani" ?
    Jua mpenzi, ninaposhika kalamu yangu hii kwa kukuandikia, shabaha yangu ni kutoa kwenye mwanga wako maendeleo ya kisasa ya kina mama wa mkoa mdogo wa Lusenda, mtaa wa Fizi.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kanya-Lubero : Viongozi wa masomo washurulika na jamaa za walimu wao ?
    Jua mpenzi, ikiwa nachukua kalamu yangu leo kwa kukuandikia, ukomo wangu mkubwa ni kupata mwanga wako kuhusu tazizo moja maalum linalonyangamiza siku hizi.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Luvungi-Uvira : Kiongozi ao hapana ?
    Jua mpenzi, sisi wakaaji wa Luvungi tunateswa sana. Magumu yetu hayo yaletwa na kiongozi wa mkoa xetu mdongo wa Luvungi. Huyu azidi kutendea wakaaji mabaya mengi sana ambayo tutajaribu kukufasiria mfano kamili katika mistari yafuatayo.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Tumegombana sababu ya kufagia tu upango wetu !
    Jua mpenzi, ukubali kunipa nafasi ndogo kwako ili nipate kuzungumza katika ukurasa wa wasomaji nawe kinsugu, kukutolea magumu yangu na baadae kuomba na kupata mashauri yako muhimu kabisa.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kiliba : Kinywa chaweza Kuloga ?
    Jua mpenzi, Mambo ya ajabu yalitendeka katika kambi la watumishi wa shirika "Sucrerie de Kiliba". Mambo hayo yaonekana kama vile hadisi ingawa yamefanyika na kuleta vinyume vikali vinavyoogopesha wakaaji wa kambi letu hilo.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Bushumba-Katana : Wakaaji wa Bushomba wakosa amani ?
    Jua mpenzi, upendezwa kutangaza barua yangu hii katika ukurasa wetuwa neno la wasomaji ili malalamiko yetuu hayo yawafikie haraka wakuu wa jimbo letu na tupate kuishi katika amani.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kayna-Lubero : Viongozi wa masomo waweza kupunguza mishahara ya walimu ?
    Jua mpenzi, ikiwa najiruhusu kukuandikia barua yangu hii kwa mara ya kwanza, ukomo wangu kamili ni kukanusha uwongo ulioandikwa na mwananchi Muteya Muhindo, mwalimu kunako masomo ya msingi ya kiprotestanti ya Kilambo-Kayna, tawi la "CEPZA" ...
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Maulizo na majibu
    ULIZO Nifanyeje kwa kuwa na urahisi wa kupata gazeti jua kila mara ? malipo ni gani ?
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kapene-Pangi : Kuchimba zahabu kimagendo kwapingwa kabisa
    Jua mpenzi, ninayo furaha kubwa moyoni mwangu ya kukujulisha mpango mzuri wa kazi za viongozi wetu wa mtaa wa Pangi na wale wa wilaya yetu ya Maniema wanaokusidia kupingana kamalieza kabisa kazi uchimboji zahabu kimagendo katika kijiji cha Kampene.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Bilembo-Mwenga : Kazi za watumishi wa "OR/B.A.505" ni kujenga ao kuharibu mabarabara ?
    Jua mpenzi, sisi wafanyabiashara na wasafiri tunaojielekeza katika mkoa mdogo wa Kamituga tukitokea mjini Bukavu twajionea "kiamtema kuni".
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Birava-Katana : Eti kiongozi wa mkoa huo mdogo ni mla pupa ?
    Jua mpenzi, pokea malalamiko yetu sisi wakaaji wa vijijini vya Lugendo, Ishunga, Kishike na Bushumba katika mkoa mdogo wa Katana/Kabare.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Nyamakana-Kabara : Kwa nini kunichonganisha bure na wakuu wangu ?
    Jua mpenzi, ninashika kalamu yangu ili nipate kukanusha maadishi ya uwongo yaliyochapwa katika gazeti lako namba 109 la tarehe 11 mpaka 17 Aprili 1981 ambamo nisiyoyajua kuhusu naibu wa mwenyekiti wa mtaa wa Kabare anayekuwa na makao yake pa Katana, mwananchi Botoko.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Mapimo-Kalima : Wakaaji wafurahi kuongozwa na mwananchi Kenda Kenda
    Jua mpenzi, kama tulivyokuandikia katika siku zilizopita kuhusu mahitaji ya wakaaji wa kijiji cha Mapimo – Kalima waliokuwa wakimilia mwananchi Kenda Kenda kuwa kiongozi wa kijiji choa, huyu amekwisha anza kazi zake katika kijiji hicho…
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Uvira : Vyumba vya kazi vya afia na hospitali
    Jua mpenzi, nazani kama utaniunga mkono ninapokuambia kama wangwana husema eti "mbele ya kutoa uchafu katika jicho la mwenzio, toa kwanza jichoni mwako !". Ikiwa ninaanza barua yangu na msemwa huo wa wazee wetu, ni sababu ukweli huo waonekana hapa mjini Uvira.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Bukavu : Yule "OPJ" wa Nguba ni rafiki ya wevi ?
    Jua mpenzi, ikiwa ninakuandikia barua hii, ukomo wangu mkubwa ni kukujulisha jambo moja la kushangaza nililojionea binafsi ambalo lasaidia wevi kuiba mati ya wakaaji na kuwaangamiza.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Uvira : Wa "karushavumbi" toka Bukavu waharibu maadibisho ya wabinti wetu
    Jua mpenzi, nikiwa mmoja kati ya wasomaji wako wa daima, najiruhusu kukuandikia barua hili ili upate kuwashari wazazi wasiofanya kazi zao jinsi inavyostahili hasa kabisa kuhusu maadibisho bora ya watoto wao.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kutafuta ndungu
    Mwananchi Longolongo Kibonge, mwanafunzi kunako masomo ya sekodari ya Kama, amtafuta shemeki yake Mizumbi wa Mizumbi,mwaliwa wa kijiji cha bilembo katika mtaa wa Mwenga.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Pinga-Walikale : Viongozi wa mkoa wa Wanyanga na askari walinzi wa usawa mikoani wapenda pesa mno !
    Jua mpenzi, kwa huzuri kubwa moyoni mwangu, uniruhusu nikutolee mateso ya makaaji wa vijijini vya Ihana, Ikobo, Kisimba, Irameso, Mpofi, Limangi na Uvira katika mtaa wa Walikale.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Fizi : Chakula ni kingi, lakini
    Jua mpenzi, baada ya kusoma maandishi ya msomaji wako mmoja yaliyotangazwa katika gazeti lako lenye namba 100 lililopingwa chapa mnamo tarehe ?
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kitutu-Mwenga : Eti kiongozi wa mkoa mdogo ajifanya kuwa askari ?
    Jua mpenzi, Ninakutaja kuwa rafiki yangu wa kweli sababu ninafuraha kubwa ninapokusoma na kufuata hivyo habari muhimu unazotangaza kila juma toka pepo nne za dunia.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • "Tuna kanusha uwongo wa wananchi Kabinia, Muyumbu na Byamungu"
    Jua mpenzi, Siku zilisopita, tulisoma kwa huzuni kubwa kibarua cha wasomaji wako kakina. Muyumbu na Byamungu waliojidal kuwa wanafunzi kunako "Institut Hekima" mjini Uvira.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Walungu : Mhubiri aweza kuwa mwami ya kiasili ?
    Jua mpenzi, Jaribu kupokea msanganno wetu sisi wahuiri wa dini ya kiprotestanti katika mkoa mdogo wa Kabugi, katika mtaa wa Walungu. Msangao wetu waletwa na matendo ya kipagani ya bami wetu wa kiasili ambao wamehuisha choka na kazi zao.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Jibu kwa barua : Mwananchi Kabutura, mchuuzi wa kasikisi aache ubaguzi !
    Jua mpenzi, uniruhusu kujibu kwa barua ya mwananchi Bahaya Karhinga aliyejificha kwa jina la Buhendwa Lufulwabo ambayo ulitangaza katika gazeti lako lenye namba 106 lilipingwa chapa tangu tarehe 21 mpaka 27 Marsi mwaka huu.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kayna-Lubero : Viongozi wa masomo waweze kupunguza mishahara ya walimu ?
    Jua mpenzi, hii ni sauti ya mmoja kati ya wasomaji wako inayokufikia toka Kayna katika mtaa wa Lubero ili kukujulisha magumu yake ya kazi kwa kuweza kujaliwa na mwanga wako.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Bukavu : Zamu wa "Pharmakina" huiba kweli kuni za shirika lao ?
    Jua mpenzi, Mimi ni msomaji kati ya wasomaji wako wa daima. Ikiwa ninakuandikia barua hii, sina ukomo wa kuwa shaki bure zamu wa shirika "Pharmakina", bali kukuomba uwashauri ili wapate kujisahilisha katika makosa na vitendo vyao.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Uvira : Viongozi wa "Institut Hekima" wanaleta haya !
    Jua mpenzi, Pokea malalamiko yetu sisi wanafunzi wa "Institut Hekima" hapa Uvira, masomo yanayosimamiwa na "Coordination Kimbanguiste".
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Bukavu : Television yaharibu maadibisho ya watoto wetu
    Jua mpenzi, nilijaribu kukuandikia mara ya kwanza katika siku zilizopita, lakini haukutangaza brua yangu.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Bukavu : Ukosefu ni ulema ?
    Jua mpenzi, "tembea ukaone, duniani kuna mambo !" Ikiwa naenza barua na kingilio hicho, ni sababu ya msangao ninaosiku hizi kufuatana na matendo ya ndugu na marafiki wangu.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kabare : Wakaaji wataendelea kulima mashamba ao hapana !
    Jua mpenzi, sisi wakaaji wa mtaa wa Kabare, hasa kabisa wa ngambo za Mudaka, twa jiuliza kama tuendelee au tuache kabisa kulima mashamba.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Uvira : Ni hatari sana kuvua samaki pasipo kuelewa vema kazi hiyo ?
    Jua mpenzi, sisi wakaaji wa vijiji vya Kigoma, Makobola na Kahingwa tuna hofu sana. Hofu hiyo yatokana na upuuzi wa ndugu zetu toke nchini Burundi na katina vijiji vingine vya mitaa ya Fizi na Uvira ambao wafika wengi sana na kujitia katika kazi za uvuvi ingawa hawalewi vema.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Karama-Idjwi : Uuzaji wa kasikisi wahatarisha dini la kiprotestanti ?
    Jua mpenzi, ikiwa ninakuandikia barua hii kwa mara kwanza, ukoma wangu mkubwa ni kukutolea mambo yasiyo halali yanayotendeka katika kanisa la kiprotestanti la Karama, tawi la "CEPAZa" pa Idjwi.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kuna masikilizo ya wizi katika ya mwananchi Balolebwami na watoto wake ?
    Jua mpenzi, sisi wakaaji wa mkoa wa Chimpunda tunasangaa sana. Msangao wetu huu watokana na matendo haramu ya mwananchi Balolebwami anayejiruhusu kuwatetea watoto wake mbele ya serikali kila mara wanaponaswa wakitendavitendo vyao vya wizi na vya urugaruga ...
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Eti yule Sadiki hajui kazi zake ?
    Jua mpenzi, utupe nafasi katika ukurasa wetu wa Neno la wasomaji lil tupate kukufasiria mateso yetu sisi wanafunzi wa masomo ya sekondari ya Kama.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Pangi : Mwananchi Sadiki na Bwana Vintton warudisha ukoloni kama ?
    Jua mpenzi, upendezwe kupokea na kutangaza machache nihayo kuhusu magumu ya wanakazi wa masomo ya sekondari ya Kama.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Kazimia-Fizi : Kiongozi wa chuo cha sekondari atuangamiza !
    Jua mpenzi, nkujulisha kama mimi ni mkaaji wa hapa kazimia, mtaa wa Fizi, nipo mwalimu tangu miaka mitatu katika masomo ya msingi, katika nasangaa, nakiongozi ...
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Bukavu : Namna gani kufika mbingini ?
    Jua mpenzi, pokea salamu zangu za amani na maendleo mema katika kazi zako. Ninapokuandikia barua hii shabaha yangu kubwa ni kupata mwanga wako kwa maulizo mengi yanayonisonga ili kuelewa mashurti ao jinsi bora ya kuishi maishani mwangu na kupokewa baada katika ufalme wa Mweny'Ezi Mungu, yuani Mbinguni.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Bukavu : Akina mama wachuuzi wa soko kuu wajiheshimu
    Jua mpezi, sisi tunaochuuza katika soko kuu la Bukavu tumekwisha inq mambo mengi ya kushangaza.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans
  • Sake : Mchana ni magari yenye kuharibika, usiku ni magari mapya !
    Jua mpenzi, Nilipokuwa matembezi huko Sake katika mtaa wa Masisi, nilijionea binafsi mambo ya kushangaza yanayotendwa na wakaaji wa mkoa huyo mdogo.
    NENO LA WASOMAJI il y a 3 ans