-
Bukavu: Kwa nini wachunguzi wa bei hawasaidie serikali kuleta usawa magukani na sokoni
Kila mmoja wetu ajidai kuwa mwananchi wa kweli.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Kifupi cha maisha ya Raïs Mobutu
Raïs Mobutu Sese Seko, alizaliwa mjini Lisala, Tarehe 14 oktoba 1930 katika kabila ya Ngbadi.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Bwana Kronacker alisema: Nitafanya vyote niwezavyo ili Shirika ya Kiliba intengeneze toni 30.000 za Sukari kwa mwaka
Siku hizi, bwana Kronacker, mtajiri na mkuu wa wabeleji wanaochanga mali yao kwa kutumikisha shirika lihusikalo na utengezaji sukari pa kiliba
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Bukavu: "SONAS" Iliwalipa wanafunzi watano kwa misiba iliowatukia
Siku ya sita tarehe 18 oktoba 1980, kiongozi wa shirika la Bima, yaani "SONAS" humu jimboni
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Luvungi: "P.A.M." si kazi ya mzaha?
Siku hizi, kiongozi wa mkoa mdogo wa luvungi, mwananchi Ndaye Kimbumbu yupo katika kazi ya kuwanimiza wakaaji wake
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Mwananchi Lokomba alisema: "Raïs Mobutu ni mwanye mapendo makuu kwa wananchi"
Siku ya kwanza tarehe 27 oktoba 1980, mwenyekiti wa mji wa Bukavu mwananchi Lokomba kumuadeboni alisimamia mkutano wa pekee wa kiraia kunako soko kuu "Mama Mobutu"
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
mwananchi Chizungu Bahirwe alitajwa kuwa kiongozi wa katana
Siku ya tano tarehe 31 Oktoba 1980, naibu wa mwenyekiti wa mtaa wa kabare, mwananchi Madua, alijielekeza pa Irhambi, mkoa mdogo wa katana,
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Les billets démonétisés de la "Coocec/Kivu" ont été échangés
Le 25 décembre 1979, devant le petit écran de la télévision national, le Zaïre a fortement bougé.
Informations générales
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Ujenzi wa kivu ni mapashwa ya kila mkaaji
Siku ya kwanza tarehe moja desemba 1980 wakati wa jioninaibu wa liwali wa kivu ahusi.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Mwananchi Makolo amesema: "Bukavu haisonge mbele!"
Gazeti letu "JUA" lilikwisha andika mengi na hata kuwatolea mashauri bora wenyeviti wa mitaa popote mjini Bukavu
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
ANEZA/ Kabare yahusika kabisa na Plan Mobutu
Siku hizi, mwenzi wetu ndugu tisa mayele kamondo wa sauti ya Zaïre mjini Bukavu.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
sange-Luberizi: Mwananchi ilondo Efambe alichungua kituo cha mlimo na ufugo cha "J.M.P.R."
Baada ya kufika mjini bukavu na kuonywa chumba chake cha kazi, naibu wa kiongozi wa vijana katika chama cha Mapinduzi jimboji ambaye ahusika na uongozi wa tawi la kilimo
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Safari ya mwananchi Makolo kindu na Goma
Liwali wa kivu, mwananchi Mwando Nsimba, aliwakilishwa kindu na naibu wake ahusikaye na uchunguzi wa kazi za serikali
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Raïs Mobutu yupo katika matembezi mjini Paris
Baada ya kushiriki katika mkutano wa nne wa kilele wa marais wanamemba wa shirikisho la kiuchumi wa nchi zipatikanazo kando kando ya maziwa makuu
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Mwananchi Djoho awahimiza wageni kutumika vizuri
Akiendelea na mpango wake maalum wa kukutana na makundi mbali mbali ya wakaaji ili wapate kujenga moyo wa mapendo
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Kinshasa: Liwali Mwando ahuzuria mkutano wa serikali
Siku ya tatu tarehe kumi Desemba 1980, mwananchi na liwali wa kivu, mwananchi Mwando nsimba aliondoka mjini Bukavu na kujielekeza katika ziara
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Kadutu: Mwananchi Musole anakusudia kupunguza bei ya vyakula
Siku hizi, naibu wa mwenye kiti wa mtaa wa kadutu, mwananchi Musole Maharaza Nyabangere ni mwenye kuendesha uchunguzi maalum kabisa
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Bukavu: Yafaa viongozi wa mikoa washurulike zaidi na miporomoko ya udongo
Zaidi ya juhudi zinazofanywa daima na kamati ihusikayo na ukingo pia maendeleo na ujenzi wamji wa Bukavu
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Enyi ndugu tuliowachagua, mnasahau kazi zenu asbabu ya uchuuzi?
wakati uchaguzi uliendeshwa popote nchini mwaka 1977, ndugu zetu waliongombea nafasi katika chumba cha siasa
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Kindu: Mwananchi Mbalanga aliwaomba wenyeji wa mahoteli waheshimu wapangaji
Siku hizi, mwenyekiti wa whaya ya Maniema mwananchi Mbalanga alisimama mkutano maalum wa kikazi ambano anzungunza kimapinduzi na we.
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Raïs Mobutu alisema mjini Paris kuwa
Mwanzilishi wa chama cha Mapinduzi, Raîs Mobutu Sese Seko anayepatikana Paris
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Wakaaji wamoja walibadilisha
Tangu siku ya tatu tarehe kumi na saba mpaka siku ya tano tarehe kumi na tisa Desemba 1980, wakaaji, watumishi katika vyunga
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
senegal: Raïs Senghor atajiuzulu
Habari zenye kuaminika toka Dakar, mji mkuu wa Jamhuri ya Senegal zahakikisha kuwa, Rais Léopol Sedar Senghor atajiuzulu kazini mwake.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
kadutu: Mwananchi Musole anakusudia kupunguza bei ya vyakula? (suite)
Tutaelewa hapa kuwa, katika ukomo huo bora wa kupunguza bei ya chakula katika mtaa wote wa kadutu
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Lettre à nos élus
Ces derniers temps, la disette se manifeste sur toute l'étendue urbaine de Bukavu.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Le PDG de la "SONAMO" a sejourné à Bukavu
Le Président Délégué Général de la Société Nationale de la Main d'oeuvre, le citoyen Tshimbuka a séjourné à Bukavu du mardi 16 au jeudi 18 décembre dernier.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Les Ets Zagabe Nyamulinduka se préoccupent de la culture vivrière
Durant la deuxième quinzaine du mois de novembre, le chef de la collectivité de Ngweshe, la Mwami-kazi Naweza Budjana mwa Naluganda avait parcouru toute l'étendue de sa juridiction politico-administrative.
REPORTAGE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Mwananchi Djoho alisimamia sherehe ya miaka 47 ya Kituo cha "INERA-Mulungu"
Siku ya kwanza tarehe 22 Desemba 1980, naibu wa liwali wa kivu ahusikae na mwenendo bora wa siasa jimboni mwananchi Djoho tayeta alisimamia sherehe ya kumbukumbu ya miaka 47.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
SNCZ/Bukavu: priorité au ventre
Pour épargner sa main d'oeuvre en particulier et tous ses travailleurs en général à la vie sociale qui est devenue presque inténable à Bukavu ces derniers temps, la sncz vient de céer une cantine en faveur des agents.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
La citoyenne Amina et le couple Souza remportent les concours d'élégance et de danse
Sous le heut patronnage du commissaire urbain de Bukavu, le citoyen Lokomba Kumuadeboni, l'association des barmen de la zone d'ibanda a organisé le samedi 3 jancier 1981 des concours d'élégance et de danse.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 5 ans
-
Kivu ya kushini: Waunguzi wa asili waendelea vema na kazi zao
Mnamo siku zilizapita kiongozi kwa muda wa kamati ya waunguzi wa asili (wafumu) katika wilaya ya Kivu ya kusini, muananchi Kakozi Kithesi alisimamia mkutano moja maalum wa mwisho wa mwaka ambano alijifunza pamoja na mwezie...
HABARI ZA JIMBO NA POPOTE
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Kampala: Afrika ya mashariki yakusudia kurudisha shirikisho lake la kiuchumi
Habari zenye kuaminika toka Kampala, mji mkuu wa Jamhuri ya Uganda, Kahakikisha kuwa, Tanzania, Arap Moi wa kenya, Milton Obote wa Uganda (wa-liohuzuriwa na mwenzao Keneth Kaunda wa Zambia) kukutana kizazi mjini Kampala, waheshimiwa hao walkusudia kurudisha shikisho lao la kiuchumi kuletamo usawa kama ilivyokuwa hapo zamani.
Shirikisho la kiuchumi la nchi za Afrika ya Mashariki ambalo lililoundwe tangu nchi hizo kujipatia uhuru lilivunjika mnamo mwaka 1977, wakati mizozo ya kisiasaili ilitukia kati ya nchi hizo jirani.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Rwindi: Ulalo mpya umejegua juu ya mto Kanyasembe
Siku hizi, shirika la kiserekali lihusikalo na ujelalo, kwa kifupi "office des routes", limejenga ulalo mpya juu ya mto Kanyasembe ambao wapatikana katika shamba la wanyama la Rwindi, Rutshuru.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Bukavu: Wananchi Salumu na makolo washusika na mabodilishano ya biashara kati ya shaba na kivu
Kisha kubaki muda wa siku nne kisangani, mji mkuu, jimbo ya Zaïre , ya juu, naibu wa liwali wa Kivu ahusikae na kazi za serikali, mwananchi Makolo Jibikilay, alimpokea mjini Bukavu mwenzie wa jimbo jirani la Shaba, mwanachi Salumu Amisi. Huyu alifika siku ya kwanza tarehe 21 januari 1981 akitokea Lubumbashi.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Butembo: Matayarisha ya ujenzi wa Kivu ya Kashaziki yamefanyila
Kulingana na amri iliyotangazwa kiserikali na Liwali wa Kivu kuhusu mipango inapashwa kutayirishwa na wenyeviti wa mawilaya kwa ajili ya ujenzi na maendeleo ya jimbo la kivu.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Uvira: Mwananchi Kombozi aliapa kuwa atabaki mwaminifu kwa Raïs Mobutu
Habari kamili toka mjini Uvira, makao makuu ya wilaya ya kivu ya Kusini zahakikisha kuwa naibu mpya wa mwenyekili wa mtaa wa Kalehe, mwananchi Kombozi Mashua Bonjoko, aliapa kuwa atabaki daima mwaminifu kwa Raïs Mobutu Sese Seko na nakutumika serikalimu she ria za Jamhuri ya Zaïre.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Le pésident Mobutu à la presse belge: "Mon peuple me soutient"
Le président fondateur du MPR, Président de la république, mle citoyen Mobutu Sese Seko, a accordé vendredi, 16 janvier 1981, une importante interview, au camp Tshatshi, à la presse belge.
composé d'une dizaine de journalistes de différents organes de presse belge , le groupe des journalistes reçus par le Chef de l'Etat revenait de Mbuji-mayi après y avoir séjourné pendant vingt-quatres heures.
Politique
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Ukimya na amasi vipo Fizi Baraka
Siku Fizi, kundi moja maalum la watanganzaji habari toka miji ya "Bruxelles" nchini Ubelgiji na "Paris" Kafika Jamhuri ya Ufaransa. Limefanya ziara ya kiserikali katika jimbo la Kivu hasa katika ya mtaa wa fizi, moja kati ya mitaa ya wifaya ya kivu ya Kusini.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Mwananchi Djoho Teyeta yupo,katika uchunguzi wa kazi za Chama
Siku hizi, naibu wa Liwali wa Kivu ashusikaye na mwenendo wa siasa mwananchi Djiho Teyeta, apatikana Katika wilaya ya kivu ya Kaskazini ambako ashurulika kwa mara ya kwanza na uchunguzi katika vyumba vihusikavyo na kazi za Chama.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Baada ya Kubaki mateka muda wa siku 444 nchini Iran
Walumishi 52 katika ubalozi wa Marekani mjini Théhéran wallachwa huru nakupokewa kwa shanwe kubwa na Raïs Ronald Reagan mjini Washington.
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Cyangugu-Rwanda: Bwana Majyambere amefungua kiwandacha uuzaji na utengenezaji wa magari ya aina ya "DATSUN" na "NISSAN"
Siku ya sika (Jamamosi) tarehe 24 Januari 1981, wanachama cha Mapinduzi kihusikacho na maendeleo nchini Rwanda tako pepo nne za jimbo la Cyangungu, walikutana malfu katika mtaa wa Cymbogo ili kusherehekea kuzinduliwa kwa kiwenda kinachohusika na uuzaji, pia utengenezaji wa magari ya aina ya "Datsun" na "Nissan".
NENO LA WASOMAJI
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 4 ans
-
Bukavu : Hakuna masikilizano bora yaliyopatikana kati ya watetezi wa wafanyakazi na walimu
Siku ya pili tarehe tatu februari 1981 wakati wa saa kumi kisha mchana, naibu wa katibu mkuu katika shirika la kiserikalilihusikalo na kuleta haki za wafanyakazi
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwananchi Makolo alisema: Bei ya biashara ni ghali sababu ya upuuzi wa wachunguzi wa bei jimboni na mjini Bukavu
suku ya tatu tahere 28 januari 1981, nafou wa Liwali wa Kivu ahusikaya na kazi za serikali, mwananchi Makolo jibikilayi, aliwakaribisha chumbeni mwake wa kazi mwenyekiti wa mji wa Bukavu , mwanamapinduzi lokomba Kumuadebani, nakiongozi wa vyumba vya serikali vihusikavyo na uchumi, akiba na uchunguzi wa bei ya biashara jimboni, mwananchi Mutombo
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Rais Reagan alikutana na wapasha Habari
siku ya nne tahere 29 january 1982 wakati wa usika nchini Amerika, Rais mpya Ronald Wilson Reagan alikutana kwa manzungumzo kwa mara ya kwanza tangu kuwa rais wa america na watangazaji wa nyumba mbali mbali za habari mwake.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Mwananchi Djoho alisema : Upuuzi wa viongozi waharibu maendeleo kivu ya kaskazini
Tulipoanza maandishi yetu haya kuhusa hali na mambo yenke kupita kila mara katika wilaya...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Jamadari Likulia yupo kati yesu
Jemadari Likulia anayepatika na katiza ziara ya kiserikali jimboni mwa Kivu tanga...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Goma : Chumba cha feza chapashwa kujilisha matumizi ya kiasi cha zaires 200.000
Habari zenya kuaminike toka Goma, mji mkuu wa wilaya ya Kivu...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Lubero: Seheru kubwa ya pori la Itondi yarudishwa kwa wakaaji
Habari kamili toka chumba cha kazi liwali kwa muda.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Rutshuru: Mwenyekiti mpya wa mtaa mwananchi Kombozi alionywa mbele ya wasaidizi wake
Habari hamili toka Rutshuru, makao makuu ya mtaa mwenye kuwa na jina hilo zahakikisha kuwa, mwenyeki....
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Bukavu: Biro ya mipango na maendeleo jimboni imeziduliwa
Siku ya kwanza tahere kumi februari 1981, mwenyekiti wa mipango mbali mbali ya maendeleo nchini...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Bukavu : Mwananchi Ngengo, Balezina Mwendambali waliiba kahawa za "Ozacaf" na "Pharmakina"
Naiou wa kiongozi ahusikaye na uchungaji wa kahawa katika kiwanda wha shirika la "Ozacaf" mwananchi Ngengo akisaidiwa na wevi wenzie Balezi na Mwendambali ....
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Katibu mkuu wa Chumba cha kugombea haki ya wafanyakazi nchini ameachishwa kwa muda madaraka yake
Mnamo tarehe 19 Februari 1981, katibu mkuu wa chumba cha kugombea haki ya wafanyiakazi nchini (UNTZa), mwananchi Mukwakani Gahungu, aliachishwa madaraka yake yote kwa muda.
La chronique Politique
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Leo, Katibu mtendaji xa Chama cha Mapinduzi Bo-Boliko atasimulia na wanachama kunako "Ciné-Rwacico"
Katibu mtendaji wa chama cha Mapinduzi, ambaye pia ni mwanamemba wa chumba kikuu cha siasa, mwanasiasa Bo-Boloiko Lokonga aliyefika ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kalembe-lembe/Fizi : Kina mama Lusembula Selemani ahusika na kuinua maisha ya vilema !
Tangu, tarehe 16 julayi 1980, kina mama Lusembula Selemani alisimika pa Kalembe-lembe, mjii mkuu wa mtao wa Fizi, kutuo binafsi kihusikacho na kuwasaidia ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Watu 24 waifariki nchini Philippines
Kulingana na habari zinazoangazwa siku hizi na radio mbali mbali popote ulimwenguni, yaaminika kuwa kundi moja la watu wasiojulikana bado liliweza kuleta fujo nchini Philippines na kuuwa wananchi wapata mawili na wanne.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Zimbabwe : Askari 55 wa ukombozi waliuawa kando kando ua mji wa Bulawayo
Habari zenye kuaminika, ambazo zilitangazwa na Sauti ya Ujerumani Magharibi, zahaki kisha kuwa, siku hizi makundiya askari wa majeshi ya ukombozi nchini Zibambwe ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kindu : Ujombo maalum toka Kinshasa ulihusika na maisha ya vijana wanaofunza kazi pa Lokandu
Siku hizi, ujumbe maalum toka mjini Kinshasa ambao uhongowa na mmoja kati ya washauri wakuu kunako wizara ihusikayo na mahisha ya jamili nchini (Affaires sociales) ....
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Kabindula-Uvira : Ndugu Muvira Siwavira gazeti Jua si baraza la utitia !
Katika gazeti letu namba 99 la tarehe 31 Januari mpaka 6 Februari 1981, tulitangaza kibarua cha musomaji wetu Muvira Siwavira, kibarua ambamo akweleza mengi ...
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
ANEZA : Le citoyen Kahegeshe succède à lui-même
Samedi le 21 février 1981 dernier, le Centre culturel français a servi de cadre pour l'assemblée annuelle de l'Aneza/Kivu. Des délégués de différents comités sous-régionaux s'y étaient rendus, nombreux, en vue de passer en revue des problèmes de leur association et d'élire, si besoin était, un nouveau Conseil général.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Uvira : Luvungi une localité pilote qui se meurt !
Quand on parle de la collectivité des Bafulero, tout citoyen averti du Sud-Kivu en particulier et de la région en général, voit en premier lieu Luvungi, la localité pilote de cette entité politico-administrative.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Une randonnée sur le lac Kivu ce dimanche
L'Association Touristique de Bukavu (AS.T.B.) organise ce dimanche 1er mars 1981, une randonnée sur le lac Kivu à destination de l'île d'Idjwi et plus précisément au petit pont de Monvu.
Nouvelles du Kivu
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu
il y a 3 ans
-
Liwali Mwando atawapokea leo mjini Goma waziri mkuu mbelegi Martens na mwenzie Nguz
Bahada ya kupata matunzo mjini Bruxelles, nchini Ubelegi na kurejea nyumbani kwake pa nyofu.
Swahili
publié par
MALIYABWANA Mwin'Anu