• NOUS SUIVRE SUR

ARTICLE(S) RECHERCHE(S)

  • Mwaka mpya na mambo mapya!
    Ouf! mwaka wa 1993 umekwisha. tutasherehekea huu wa 1994, katika shangwe na vigelegele tukimsifu Mweny'ezy mungu.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Udemokrasia, amani na chaluka
    Mchoko ao kazaru? Hiyo ni ulizo lafika wengi wanaojifikiri juu ya hali ya kisiasa iliyoko kwa sasa nchini Zaïre.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Kivu, Viongozi serkalini wayeyushwa ubongo
    Mara nyingi viongozi esrkalini jimboni mwa kivu ya kusini walikutana na wafanyabiashara pia viongozi wa mabenki kwa kutatua tatizo la kupandishwa kwa bei ya bizaa na hali ya kiuchumi yazorota jimboni siku nenda rudi tangu hapo kabadilishwa feza.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Shirika la SNEL liaminiwe
    Kutokana na matatizo linalo shirika lihusikalo na utoaji na uchuuzi wa moto wa stimu ama Snel na wa "clients" wake, ujumbe toka uongozi mkuu wa shirika hilo mjini Kinshasa na ukiongoza na bibi tokwaulu Aisa,...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Watutakia nini?
    Siku kwa siku uwasiwasi watezamiwa nchini Zaïre kutokana na hali ya siasa pia na ya uchumi iliyoko.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Boxe, "Toubi" d'Uvira affrontera "Commando" de Bukavu
    Dimanche 28 novembre 1993, l'association de boxe amateurs de Bukavu organise un gala de boxe dont le lieu n'est pas jusque-là encore fixé.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Fédération internationale de football association, deux joueurs du CS Virunga de Goma présélectionnés pour Tunis '94
    Le confrère kinois "Forum" confirme que deux joueurs du CS Virunga de Goma sont retenus dans la présélection des léopards devant défendre le tricolore zaïrois au tournoi final de la 19 ème coupe d'afrique des nations...
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Finances, Lembo et Batumona, nouveaux directeurs régionaux de l'Ofida et des Contributions
    MM. Lembo Kolatang et Laurent Batumona viennent d'arriver à Bukavu pour chapeauter respectivement les directions régionales de l'Office des dounaes et accises (Ofida) et des Contributions au Sud-Kivu.
    Sud Kivu publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Maisha mazuri
    Kitu Kizuri gani twaweza kutumainia toka mkutano wa masimulizi na mabishano kati ya wanasiasa?
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Yamefungulia mitaani Uvira na Fizi
    Mwaka huu wa masomo 1993-1994 umefunguliwa kwa masomo ya kipekee (privées).
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Arkiaskofu Mulindwa ajiuzulu
    Kulingana habari zinazoaminika, Baba Mtakatifu wa Roma, Papa Yoane paulo wa pili, atoka kumtaja askofu Munzihirwa Mwene-Ngabo wa kasongo kama vile kiongozi kwa mda wa arkidiosezi ya Bukavu...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 6 ans
  • Bukavu-Dawa yakaa Juu ya makaa ya moto?
    Kufuatana na matatizo yanayoangamiza siku hizi timu la Bukavu-Dawa, wapendelevu wa mchezo wa kandanda mjini Bukavu
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 5 ans
  • Mapambano ya kombe la dunia
    Kutokana na habari za michezo ya mpira katika mapambano ya kugombea kombe la Dunia.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 5 ans
  • Mundial 82: Les "Léopards": au revoir les malgaches
    Une fois encore, l'entraineur Kalala Mukendi vient de confirmer son savoir faire dans la compétition inter-africaine de football.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 5 ans
  • Jawabu kwa mzozo wa kisiasa nchini Zaïre ni: Masikilizano na heshima ya mapatano kati ya wanasiasa
    Eti Raïs Mobutu akubali kukutana tena na wapinzani... Kwakweli tukichungua kwa karibu nguvu zaendeshwa kwa kuulaza mzozo wa kisiasa ulioko mchini Zaïre, zote zafikilia tu jawabu moja: masikilizano kati ya wanasiasa.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Kazi za wakimbizi
    Tumesherehekea hapo majuzi kumbukumbu ya Wakimbizi Barani Afrika. Lakini tukichungua kwa kini hali kwa sasa ya Wakimbizi ulimwenguni kutokana na vita viendeshwavyo nchini nyingi toka chuki na waguzi wa kikabila kama vile na rangi na wa kidini...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Football, Qui remportera la Lifski'93
    Dans le cadre de la qualification des équipes Sud-Kivutiennes à l'édition '94 des compétitions nationales, la ligue de football du Sud-Kivu (LIFSKI) organise depuis le 21 juillet 1993 un championnat régional en 3 poules.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Tuzungumze: Matunzo kwa dawa za asili bora?
    Mjini Bukavu kwa upekee na jimboni mwa Kivu ya kusini kwa jumla, vyumba vingi vya matibabu kawa dawa za asili zaote kama buyogaporini...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Udemokrasia, madaraka na mapaswa
    Mpango wa kufikilia siasa ya udemokrasia wa kweli ndiyo kusema mpango wa ushindi na wa raïa kuchukua madaraka mikononi mwao hauwezi kusimamisha kamwe na mtu yeyote.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Mzozo utaisha lini nchini Zaïre?
    Akitoa maoni yake kwa wapashahabari kuhusu hali ya Kisiasa yatezamiwa nchini kwa leo, askofu Laurenti Mosengwo Pasinya, prezidenti wa Baraza kuu la Washauri wa Jamhuri nchini Zaïre...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Vyama na demokrasia
    Iliruhusiwa kusimikwa nchini Zaïre siasa ya vyama vingi. Na kwa kweli kukaundwa vya kisiasa mamia na mamia. Kitendo hicho kikategemea zaidi ukabila...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Journée mondiale de la femme, S'unir pour développer
    La journée mondiale qui tombe le 8 mars de chaque année a été commémorée avec faste à Bukavu. Samedi 6 mars dernier, la grande salle de la paroisse Catholique St François-Xavier de Kadutu a servi de cadre pour la première journée des manifestations prévues.
    Sud Kivu publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Football, Le dilemme du président Simbwa
    Les affiliés de l'association de football de Bukavu (AFBUK) ne savent pas encore où ils disputeront leur championnat '93. Tenant mordicus à la refection de leur sanctuaire profané de Kadutu, bon nombre des clubs gardent les yeux tournés vers le terrain de Nyakavogo à Bagira.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Catch, Les frères Musaka sont déçus !
    A la demande de Shakazulu, champion du Bas-Zaïre, deux journées de combat étaient programmées pour le samedi 13 et le dimanche 14 mars 1993 au stade de Kadutu entre les frères Musaka Nico et Romain contre Kombe Kombe Luvuluholo du club Makasi et Shakazulu.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Pourquoi l'absence du BC Kabono
    Pourquoi l'absence du BC Kabono dans l'actuel championnat local? Une question qui préoccupe les férus de la balle au panier et sur laquelle la lettre ci-dessous adressée par cette équipe...
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Kwenyi meza ya duwara kisiasa mjini Kinshasa, Bwana Birindwa kateulirwa waziri mkuu mpya
    Kutokana na misukosuko ya kisiasa yaangamiza bado chi ya Zaïre tangu hapo Raïs Mobutu kumuachisha bwana Tshisekedi madaraka ya uwaziri mkuu mwezi ya Ogusti 1992 ingawa kavikwa madaraka...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Dolari kwenyi mlingoti
    Hali ya kiuchumi iliyoko nchini ya tia raïa katika uwasiwasi kwani hawajui nani wategemea ao nani atawaokowa na kuwa ondoa katika shimo la magumu wagandamizua.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Mnamo tarehe 8 marsi 1993, Wamama kasherehekea siku kuu yawo
    Kila mwaka wamama washerehekea siku kuu yao mnomo tarehe 8 marsi katika furaha kwa shangwe na vigelegele ulimwengunikote ingawa magumu yatezamiwa kuwaangamiza...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Wakaaji wapenzi wa zone ya Masisi, Walikale, Rutshuru, Nyiragongo na Goma
    Wakubwa wa jimbo la Kivu ya Kaskazini (Nord-Kivu) wakishirikiana na wale wa kabila zenyi kuishi katika jimboo hilo...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Raïa wazulumiwa
    Tangu mizo ya kisiasa kuzuka nchii kati ya vikundi viwili: kundi lamuunga mkono ya Raïs wa jamhuri na lile lategemea upinzani na siasa kali tuseme kwa kifupi makundi ya mabwana...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Uhariri: Shangwe na Shukrani
    Kutokana na hali ya Kisiasa, ya kijamii na ya kiuchumi iliyo nchini, uwasiwasi wawashika raïa na maisha huwa ngumu siku kwa siku...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • UHARIRI: uwe wa heri na fanaka
    ouf! Twafika mwaka mpya wa 1993, Mambo mengi yamepita na mwaka wa 1992 kwa namna wa mwendo wa kunguru.Tukitupa jicho nyuma tutajionea wenyewe namna gani mwaka 1992 wateremusha na usito wa magumu, raha, mipando na miporomoko ya maisha. sisi sote, hasa Wana-Zaïre, Kanshukuru Mungu Mweny'Ezikiwa shangwe na vigelegele kulotana na mambo kajionea.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Football_ OC Bukavu-Dawa: Après la pluie le beau temps?
    Le président du comité sportif de l'OC Bukavu-Dawa/Pharmakina, M. Ladislas Masonga, nous a édifiés sur les péripéties de la minable participation de son équipe dans la dernière coupe du Zaïre. Le président explique que les "corbeaux" s'étaient assez bien préparés à cette compétitipon nationale qualificative à la coupe d'Afrique des clubs champions(CACC) et à celle de la Conféderation Africaine de Football (CAF).
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou publié par Dieudonné Malekera il y a 4 ans
  • Bonane, mwaka mpya na mambo mpya
    Mwaka wapita bado umeme. Leo hii tunafurahia mwaka mpya 1986. Mambo yamefyatuka kwa mwendowa kurukaruka kama kunguru kwa ginsi ukitizama nyuma utajionea mwenywe namna gani mwaka 1985 wabeba mzigo wa magumu, raha, mipando na miporomoko ya maisha.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Michezo: FAR yaiangusha Bilima
    Ni mnamo tarehe 22 Decemba 1985 ndipo FAR, timu bingwa la Moroko, lilivikwa taji la ubingwa baada ya kutoka sare (1-1) na Bilima klabu bingwa la Zaïre katika pambano la marudilio, njini Lubumbashi katika nzunguko wa 21 wa kuigombea kombe Barani Afrika.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • MIAKA 20 YA MAPINDUZI YA ZAIRE
    Ni mnamo tarehe 24 Novemba 1965 ndipo mareshali Mobutu akisharikiana na maofisa wakuu alichukua madaraka ya uraïs wa Jamhuri.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • La vie dans nos clubs
    Au cours de son assemblée générale qui a eu lieu le 4 janvier dans les locaux attenants aux installations sportives du stade de Kadutu, le vice-champion de l'AFB s'est assigné pour objectif de remporter cette fois-ci le trône du championnat local, et de poursuivre la conquête des titres les plus enviés de cette discipline sportive.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Karaté: Ringo est-il vraiment maître?
    Le 17 janvier 1993 retera une journée inoubliable pour les sportifs bukaviens et les sympathisants qui attendaient un combat valable de karaté. Un jeune plein de courage a fait du karaté un sport de spectacle, un sport comme les autres, c'est maître Delphin, ceinture bleue. Une bonne initiative à encourager mlagré que la procédure ait été mauvaise.
    Sports publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Kwako bibi: Ewe bibi, kwa nini ongezi mchana kutwa ?
    Ingawa mbea (ongezi, commérage) kati ya wanawake laoneke njema ni kwa kuwa kwani ukipita mikoani utasubutisha kuwa wanawake...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Koperative ya akkiba na mkopo: Benki kuu ya Zaïere yatia usawa kati
    Tokea sasa kila koperative akiba na mkopo yapashwa kwanza kupata ruhusa ya Benki kuu ya Zaïre mbele ya kwanza akazi zake. Wakuu wanaohuika na kazi za feza wapo hivi na shuruli ya kutia usawa katika viungo...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Tarehe 17 novemba 1985: Majeshi ya askari yatimiza miaka 25
    Siku ya Mungu tarehe 17 novemba ndipo siku ya ukumbusho wa miaka 25 tangu hapo Jamhuri ya Zaïre kujipatia majeshi yake ya kiaskari...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Kivu ya Kusini : Burhinyi : Mwami Muganga ajiuzulu
    Habari zinazoaminika toka kivu ya Kusini na zilizotolewa na mwaandishi wetu Musemi Kilondo Nkula anyehusika na kituo chetu cha habari wilayani humo zahakikisha...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Amitabh Bachchan "Deewar" ageuka mwana-siasa
    Kufuatana na habari zilizotolewa na mwandishi wetu Lubunga Bya 'Ombe toka Kinshasa, yasemekana kuwa Amitabh Bachchan, bingwa katika michezo ya sinema ajulikananae kwa jina la "Deewar" alichaguliwa hapo majuzi kama mteule (député) wa jimbo la UTTAR-PRADESH nchini India baada...
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Shabunda : Mkoa wa Bakisi katoka magumuni
    Baada ya masimulizi mihimu yaliyofanyike kati ya Mwami Mopipi Bitingo na wiiongozi wa shirika la utengenezaji wa mabarara "Office des routes", yajulisha kuwa ujumbe moja wa chumba kinachohusika na ustawi wa kazi za ujenzi wa mabarara za shirika hilo utajielekeza katika mkoa wa Bakisi mtaani Shabunda katika siku za usoni.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Kwako bibi: Ni lazima tumpeleke bibi katika kilabu ?
    Mgini tunamoishi mwa tendeka mambo ya kila aina. Kuna wale jamaa ambao wana wazo la kuwa kumpeleka bibi wa nyumbani nafazi zote ndio alama kamili la kusilimuka.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Kamati kuu ya itafungua mkutano wake wa 10 mnamo tarehe 30 Septemba 1985
    Kulingana na habari zlilizotolewa na katiba imara ya kamati kuu ya Chama, kamati hiyo itafungua mkuyano wake wa kumi wa kawaida mnamo siku ya kwanza tarejhe 30 septemba 1985.
    HABARI ZA JIMBO NA POPOTE publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Hatari mlangoni : Kumbe tembo wateketezwa !
    Mungana husema : Siku za mwizi ni arubaini. Kweli masemi hayo hayo si ya uwongo kwani habari zinazaominika na zilizotolewa na mwandishi wetu Wakilongo Nyembo ambaue ahusika na kituo chetu mjini Goma...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Tuzungumze : Akina dada na kaka wetu si mujiheshimu !
    Ngoma ikilia sana haikuwi kupasuka na ivumayo haidumu hunema mzee mungwana. Kulingana na maneno hayo nimejiruhusu kushika tena kalamu yangu kwa kuwajulisha jambo moja linalotusonga moyoni wakati ninajitembeza mikoani.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Kivu ya Kusini : Padri Gapangwa atajwa Ascofu mpya wa Diosezi ya Uvira
    Mnamo tarehe 27 julay 1985, Baba mtaktifu wa Roma, Papa Yoane-Paulo wa pili alimtaja padri Gapangwa kama vile askofu mpya wa diosezi katoliki ya Uvira.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Tuzungumze : Eti wandumba wa Bukavu washambulia Kivu ya Kaskazini !
    Panda ovyo hula ovyo na mpenda yote akosa yote. Maneno hayo ya muungwana hayakosi maana kama habari toka Goma, mji mkuu wa Wilaya ya Kivu ya Kashazini ni ya wandumba ya Bukavu.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Baada ya kula nyama yenyi kugonjwa watu watatu wafariki dunia
    Habari toka mtaa wa Masisi, wilayani Kivu ya Kaskazini, zajulisha kuwa watu watatu walifariki dunia katika mkoa wa Gatoyi baada ya kula nyama isiyopingwa na mganga.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Machache juu ya masimulizi ya Raïs Mobutu na Raia kijijini Kinkole
    Kama sidanganyike, nazani kuwa, na sisi wote twajua kama Waarabu walitesa mabatu utumwani na leo hii mbuni Kadhafi aliye pia Mwaarabu apoteza feza zake bure akituma watu wakukodeshwa kutia mizozo katika nchi ...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Machache juu ya masimulizi ya Raïs Mobutu na Raia kijijini Kinkole
    Katika mpango wa kusherehekea miaka 18 ya sikukuu ya wavuvi na kuundwa kwa feza Zaïre, kijijili Kinkole (mjini Kinshasa), Baba wa Taifa, Raïs Mobutu Sese Seko, alisimulia na Raïa bila vipenge wakati alipokuwa akiwahotubia.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Jamhuri ya Zaïre yatimiza miaka 25 ya Uhuru
    Ni mnamo tarehe 30 Juni mwaka ya 1960 ndipo kazaliwa Jamhuri Zaïre. Tanguu tarehe hiyo ambako Taifa letu Zaïre lilijinyakulia ushindi katika mikono ya wahajiri (wakoloni) kutokana na juhudi zilizofanywa...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Uhusiano kati ya Ubeleji na Zaïre waimarisha
    Safari aliyoifanya Mfalme Baudouin, Malkia Fabiola na ujumbe muhimu toka nchi rafiki ya Ubeleji ili kusherehekea na Wana-Zaïre kumbukumbu yay miaka 25 ya uhuru wa nchi ya Zaïre iliimarisha uhusiano wao.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Bashizi Kanena : "Mwaka huu hatutaki mzaa"
    Ni siku ya tatu tarehe 19, baada ya kulisakanya timu la Zaïre-bank boa moja kwa bila bila siku ya Mungu tarehe 16 juni, katika pambano la kwanza, katika mchezo...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Waharamia 7 toka Lybia walionyeshwa kwa wapashaji wahabari
    Mareshali Mobutu na askari-jeshi wetu shujaa wawangoja wahusi wowote bila woga. Kisha kutangaza kwa habari juu ya vitendo vya uhuni na uharamia vilivyotaka kuendeshwa na wakafri 7 waliofunzwa nchini Lybia...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 4 ans
  • Mkoa wa Kabare wakaa juu ya makaa ya moto
    Hapo majuzi, siku ya kwanza tarehe 27 may 1985, mwananchi Karhebwa Kanyabalirwa, makamu wa presidenti wa Baraza la washauri katika mkoa wa Kabare...
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Uakili wa uchunguzi wa mishahara wafezeeshwa
    Ebu ! Mambo yamegeuka kunako uakili (commission) wa uchunguzi wa mishahara. Ingawa hao wanaohusika na hesabu na malipo mishahara (comptables) walivunduliwa na kupelekwa mbele ya waamzi na kuachishwa kazi, wamerudishwa kazini kwa mshangao mkubwa.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Kamati kuu ya chama : Mareshali Mobutu kakusanya wanamemba wa chumba imara
    Habari toka Kinshasa zajulisha kuwa, Mareshali wa Zaïre, Mobutu Sese Seko, Prezidenti muundaji wa Chama cha Mapinduzi, aliwakusanya wanamemba wa Chumba imara cha kamati kuu ya Chama na wakuu mbalimbali nchini kunako makao yake y Kampi Koloneli Tshatshi.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • Mama Bobi Ladawa awasaidia wagonjwa
    Mjini Kishasa, mke wa Raïs wa Jamhuri, Mama Bobi Ladawa, aliwatumia viongozi na wagonjwa wa Hopitali kuu Mama Yemo dawa na vifaa vingi kwa matibu ili mwelezo wa kwimarisha mpango wa miaka saba ya kijamii utimizwe barabara.
    Swahili publié par André Bisimwa L-B. Tserou il y a 3 ans
  • ITALIA
    Bwana Ali Agça aliyetaka kumuua Baba Mtakatifu wa Roma, Papa Yoane-Paolo wa pili alieleza mbele ya waamzi ya kuwa silaha aliyotumia kwa kumpiga Baba Mtakatifu risasi na hivi kumu